JE UMEPENDA MSEMO GANI KUTOKA KWA HAWA WATU MAARUFU DUNIANI? WHAT STATEMENT DID YOU PREFER MORE ABOUT THE FOLLOWING FARMOUS PEOPLE IN THE WORLD?

in life •  2 years ago
 1. "kuzaliwa masikini sio kosa lako, ila kufa
  maskini ni ujinga wako" (Bill Gate)
  .
  .
  2,..Failure to plan is A plan to Fail
  (felix Bundala)
  .
  .
 2. "Heri kufa na mawazo yanayoishi, kuliko
  kuishi na Mawazo yaliyokufa" .. (Che Guevara)
  .
  .
 3. "Vita inamalizwa kwa vita na ili tuachane na
  matumizi ya bunduki inabidi itumike bunduki" . .
  (Mao ze Dong)
  .
  .
 4. "sitamani kumjua babu yangu alikuwa nani,
  ninachotaka kufahamu mjukuu wake atakuwa
  na tabia gani".. (Martin luther king)
  .
  .
 5. "Usimuulize mtu yoyote anayenijua mimi
  maana utamjua yeye kupitia mimi" . .(Joe lescot)
  .
  .
 6. "mwonekano siku zote hutengeneza
  uwezekano" . . (lucky Crackent)
  .
  .
 7. "Hatuwapendi wanawake kwa sababu ni
  wazuri, ila tunawaona wazuri kwa sababu
  tunawapenda". . (lucky crackent)
  .
  .
 8. "watu ni wengi ila binadamu ni wachache". .
  (fidel casto)
  .
  .
 9. "Usiishi kwa sababu unaishi, tafuta sababu
  ya wewe kuishi".. (Jay Ozil cazorla wilshere)
  .
  .
  11, Hakuna mkate Mgumu mbele ya Chai
  (Bob Sydou)
  .
  .
  12, Kichwa kikubwa bila Akili ni Adhabu kwa
  miguu
  (thabiti Kube)
  .
  .
  13, Uendawazimu ni cheo, Ambacho
  hauruhusiwi hata kumwongoza mtoto
  (leonard Mwendwa)

14 kumuongelea Wenger aondoke arsenal ni sawa na kujikuna pasipowasha au kujikuna kwenye kidonda(FesArsenal)
.
.
Kama hakuna hata falsafa moja uliyoikubali,
basi weka falsafa yako tuione..

Authors get paid when people like you upvote their post.
If you enjoyed what you read here, create your account today and start earning FREE STEEM!